FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Thursday, February 17, 2011

POLENI NDUGU ZETU WA GONGO LA MBOTO

HIVI NDIVO HALI ILIVOKUWA PANDEHIZI ZA GONGO LA MBOTO HILO HAPO CHINI NI BOMU LILILO FYATUKA KUTOKA KAMBINI
SHOGA LA CHAFUA HALI YA HEWA TRAVERTINE
Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja aliyedaiwa kuwa ni shoga, hivi karibuni alijikuta akichafua hali ya hewa ndani ya Ukumbi wa Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam, baada ya kufanya mambo yasiyofaa, Amani linakunyuzisha. Ishu hiyo ilipigwa chabo na paparazi wetu aliyekuwa ndani ya ukumbi huo Februari 14, mwaka huu wakati Kundi la Taarab la TOT lilipokuwa linazindua albamu yake ya ‘Top In Town’. Awali, jamaa huyo aliyekuwa ameseti nywele zake vizuri huku akiwa amevalia mavazi ya kike, alionekana akijipitisha ukumbini hapo huku akitingisha makalio…

No comments: