FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Friday, May 20, 2011

Taarifa aliyoitamka kupitia redio CloudsFM,
Dina Marios wakati kipindi cha "Leo Tena"
kikiendelea, imesema kuwa, yule aliyekuwa
akijiita na kujulikana kuwa
Mtabiri wa Nyota na Mnajimu, 
aliyejipatia umaarufu nchini Tanzania, 
Afrika na pande nyingine za Dunia, 
Sheikh Yahya Hussein, 
amefariki dunia leo hii nyumbani kwake
huko Magomeni Mwembe Chai, Dar Es Salaam.,
Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban ,
bin Simba amesema BAKWATA imepokea 
kwa masikitiko kifo cha Sheikh Yahaya na
kuwaomba Watanzania wamwombee
akapumzike kwa amani.
Mwili wa Marehemu Yahya umehifadhiwa
katika hospitali ya Lugalo.LAKINI PIA KUNA,
MTANDAO MMOJA WA KIJAMII 
KIMEANDIKA KUWA UTABIRI 
WA GWAJIMA WATIMIA,kama ifuatavyo,
 kifo cha shekhe yahya ni 
utabiri wa gwajima

Tunasikitika kusikia kifo cha mnajimu maarufu wa Afrika Mashariki, Sheikh Yahya Hussein kilichotokea leo asubuhi, kabla ya kifo chake  makundi mbalimbali ya Kikristo tuliomba na kukemea nguvu za giza zilizokua zinatumika na sheikh Yahya Hussein! na moja wa watumishi wa Mungu waliosema wazi kwamba aachane na nguvu hizo ni Mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Glory of Christ hapa ni nukuu ya baadhi ya masharti aliyompa marehemu kabla ya uhai wake!

Baada ya kuendelea kutenda kazi zake zikiwa ni chukizo machoni mwa Mungu, leo ninatoa hukumu kutoka kwa Bwana, nanyi nyote mtachuja kuwa ni upi utabiri wa kweli kati ya Sheikh Yahaya na Mungu. Ninamwagiza Sheikh Yahaya afanye mambo matatu la sivyo naye atakufa ghafla kama alivyowatishia Watanzania wenzake,” alisema.

Sharti la kwanza alisema ni Sheikh Yahaya kwenda katika kanisa hilo la Glory of Christ na kuonana na mchungaji Gwajima yeye mwenyewe ili amwongoze kwa sala ya toba, kisha ampokee Yesu katika maisha yake.

Sharti la pili, Sheikh Yahaya ameamriwa kuanzia sasa aachane na utabiri wake ambao kwa miaka mingi alisema umewaumiza watu wengine wasiokuwa na hatia na kuwafaidisha wengine wachache kwa njia za giza.

Na sharti la tatu, Sheikh Yahaya ametakiwa, baada ya kuokoka, arudi katika vyombo vya habari kwa nguvu ileile aliyoitumia kutangaza utabiri wake wa mtu kufa ghafla na sasa awatangazie Watanzania mabaya yake yote aliyokwishayafanya kwa watu wa taifa hili hadi siku ya mwisho alipolazimika kuokoka

Habari zaidi na maoni ya watu mbalimbali fungua

http://strictlygospel.wordpress.com/2010/01/04/mchungaji-ampa-sheikh-yahaya-masharti-matatu/

Je, unabii huu umetimia? ama kifo kimesababishwa na matatizo ya kiafya aliyokua nayo muda mrefu?
Taarifa zaidi mtazipata kupitia vyombo vya habari baadaye.

No comments: