FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Friday, June 10, 2011

MISS Tanzania 2006, Wema Sepetu jana alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 40,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana matusi ya nguoni na kumtishia usalama, Raheem Nanji maarufu kwa jina la Bob Junior ‘Rais wa Masharobaro’. Wema alihukumiwa kifungo hicho na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mariam Masamalo baada ya kuridhishwa na ushahidi wa mlalamikaji uliotolewa mahakamani hapo. Katika hukumu hiyo, Hakimu Masamalo aliwataka mashahidi hao kutoa ushahidi mbele ya mahakama hiyo, baada ya ushahidi huo hakimu huyo alichukua muda mfupi kupumzika na kutoa hukumu hiyo. Baada ya hukumu hiyo, ndugu na jamaa wa Wema walijikusanya na kulipa faini ya Sh 40,000 na kuachiwa huru, huku mahakama hiyo ikimuonya mrembo huyo kutorudia kutenda kosa kama hilo. Wema alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Mei 4, 2011. Aidha, katika tukio lingine Wema alishikiliwa tena mara baada ya kuachiwa huru mahakamani hapo kwa kile kilichodaiwa kutoa lugha ya matusi ya nguoni kwa Rehema Fabian, mtuhumiwa alikamatwa na kupelekwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es Salaam kwa maelezo zaidi. SAKATA LA AISHA MADINDA NA GLOBAL PUBLISHA
Na Joseph Shaluwa Kampuni ya Global Publishers Ltd, inayochapisha magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa Wikienda, Risasi, Amani na gazeti hili, iko tayari kumlipa kiasi cha shilingi Milioni mia tano, mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ikiwa atatoa uthibitisho kwamba, picha za utupu alizopigwa nchini Afrika Kusini ni za kutengenezwa, soma data chini. Ofa hii imekuja siku mbili baada ya gazeti moja la michezo na burudani linalotoka mara mbili kwa wiki, toleo la Jumanne Mei 18, 2010 kuchapisha makala kuhusu Aisha akikanusha kuwa, picha zile si zake na kwamba zilitengezwa na mbaya wake kwa lengo la kumchafua jina. ...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu Hata hivyo, katika makala hayo, Aisha alishindwa kuthibitisha picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza. Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote. Moja ya ushahidi huo, katika picha za video, kuna sehemu Aisha anaongea kwa tambo akiwaponda watu wanaomfuatafuata na kumsema vibaya. ...sasa hapa inakuwaje picha hizi zikitoka gazetini...!!!! Tunamnukuu: “Wanasema eti nimeishiwa, nimekosa nauli ya kurudi Tanzania, waende basi kwa huyo Asha Baraka wakaseme, maana wamezidi kwa maneno.” Hata hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi. ......aaa jamani...niacheni ki mpango wangu!!!! Aidha, ushaidi mwingine kuwa picha hizo ni Aisha, mara baada ya kutua Bongo akitokea Afrika Kusini, alimwangukia bosi wake, Asha Baraka akimwomba radhi kwa yote aliyoyafanya Afrika Kusini ambapo gazeti hili liliripoti likiwa na kichwa cha habari; NATESEKA. Katika habari hiyo, Asha Baraka ‘Iron Lady’ alinukuliwa akisema kuwa, anaamini Aisha aliteleza na hivyo ameamua kumsamehe na kumrudisha kundini kuendelea kupiga mzigo kama kawa. ....ntajua ntakachowaeleza watanzania.... Tunamnukuu Asha Baraka: “Mimi kwa Aisha ni kama mama au dada yake, na ninavyojua, mtoto anapojisaidia kiganjani mzazi huwezi kuukata mkono bali utausafisha kisha kuyaacha mambo yaendelee. Vivyo hivyo kwa Aisha, kafanya kosa lakini hakuna kosa lisilostahili msamaha, kwahiyo asamehewe. “Atakachokifanya Aisha ni kuomba radhi kwa mashabiki wake na katika kila sehemu ambayo tutafanya shoo atafanya hivyo kabla ya kuanza kutumbuiza.” .......ni mzimu wangu tu huu...siyo mimi..! Pia, katika kuonesha ubinadamu, mwisho wa habari hiyo Mhariri aliwaomba Watanzania wasahau yaliyopita kuhusu Aisha na aombewe kwa Mungu ili amwepushe na mitihani mingine nkatika maisha yake. Katika hali ya kushangaza sana, baada ya kimya cha muda mrefu, Aisha ameibuka katika gazeti hilo akidai kwamba picha zile zilikuwa za kutengeneza hali iliyozua maswali miongoni mwa wasomaji wetu. Habari hiyo, ambayo ilionekana Aisha alikuwa amelenga kuwafanya Watanzania waamini Ijumaa linaandika habari za ‘mezani’ alisema, yupo mwanaume mmoja aneyemsumbua kimapenzi kwa muda mrefu, ambaye ndiye aliyemfanyia unyambisi huo. ......mimi siyo Aisha niangalieni vizuri...!!!!! “Huyo anayenichafua alikuwa ananitaka kimapenzi nikamkatalia na siwezi kumkubalia, hata kwa mtutu simpi mwili wangu ng’o, kuamua kunitangazia sifa chafu si suluhisho la mimi kumkubali, zaidi ya kumuona kichekesho kwani katika jamii ya watu wastaarabu hafai, namfananisha na ‘nungayembe’ la kiume,” alisema Aisha katika sehemu ya habari hiyo. Aidha, aliongeza: “Picha za ngono zilizoenea kila kona ya nchi, zinazonihusu mimi si za kweli, amefanya hivyo kwasababu ‘nilimpiga za uso kavukavu bila chenga’, siwezi kupoteza muda wangu kubishana naye, nitakuwa nampandisha chati, lakini ajue hata kwa mtutu hapati kitu kwangu.” Katika juhudi za kulishusha ‘grade’ gazeti hili, sehemu ya habari hiyo ilisomeka, ‘Anadai amekuwa akikabiliwa na tuhuma za kupiga picha za ngono na utupu zilizosambazwa sehemu mbalimbali hasa katika magazeti ya udaku, ambapo kiuhalisia si zake. ....baada ya mitungi, mikasi....Aisha akiwa na Khumalo Katika hatua nyingine, mapema wiki hii, kijana Khumalo aliyefanya naye uchafu huo nchini Afrika Kusini, amelitumia waraka pepe (e-mail) gazeti hili akiomba msahama kwa Aisha. Alisema anakiri kumtenda vibaya (kupiga na kulikisha picha hizo) mnenguaji huyo, lakini anamuomba amsamehe na waanze ukurasa mpya. ..email ya Khumalo kwa gazeti hili akimuomba radhi Aisha...(click to enlarge) Aidha, katika waraka pepe huo ulioandikwa kwa Kimombo, Khumalo aliomba radhi kwa Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka huku akitangaza nia yake ya kutaka kumuoa Aisha. KUTOKA IJUMAA Kitendo cha Aisha kwenda kukanusha habari hiyo kwenye gazeti lingine, tunaamini kinalenga kutushusha na kupunguza imani ya wasomaji dhidi yetu. Siku zote tumekuwa tukisimama katika ukweli, hatukurupuki kuandika habari za kutunga wala zisizo na ushahidi wa kutosha. Kukubali kwake kupiga picha zile na kuomba radhi kunathibitisha moja kwa moja kwamba ni kweli picha ni zake, lakini kukataa baadaye katika chombo kingine ni kutufanya Global tuonekane waongo. Zipo picha nyingi zaidi za utupu ambazo tumetunza kwenye maktaba yetu, hatukuzitumia kwasababu za kimaadili hasa kutokana na ukweli kwamba ni chafu zaidi ya tulizochapisha. Kwa yeyote ambaye ameanza kuingiwa na imani kwamba picha zile ni za kutengeneza, tunamkarisha katika ofisi zetu zilizopo Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, ajionee mwenyewe.Na kwa mliombali na Dar, tumelazimika kuweka kwenye mtandao huu baadhi ya picha hizo ambazo hatukuwahi kuziweka pamoja na kipande cha video alichochukuliwa siku ya tukio. KWAKO AISHA Kukiri kwako mbele ya bosi na mashabiki wako, kulitafsiri kukubali kupiga picha zile zilizo kinyume na maadili ya Kitanzania na ulikuwa ukihitaji kusamehewa, hivyo kukanusha, kunashusha uelewa wako, kwani unaonekana mtu wa kutapatapa. Fahamu kwamba, habari hiyo imetukera na tunakutaka ujaribu kuwa muungwana na uelewe kwamba kuna Mungu ambaye bila shaka anajua ukweli zaidi pengine ya tuliouripoti. Kama ni kweli uliona umeonewa, chondechonde toa uthibitisho tukupe hayo mamilioni ya shilingi ili uuage umaskini na kuachana na unenguaji.

No comments: