FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Thursday, July 14, 2011

PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi! Msemo huu umechukua nafasi kwa Miss Tanzania 2007/08, Richa Adhia ambaye amemwanika mpenzi wake na kuweka wazi kuwa, ndiye mume wake mtarajiwa kwani ana baraka zote za wazazi. Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘polisi’ wa Amani lilijiri ndani ya Ufukwe wa Mbalamwezi Mikocheni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kulikuwa na tamasha la waandishi wa habari na washiriki wa Miss Tanzania kutoka Ilala, Kinondoni na Temeke, Dar. Awali, Richa na mpenzi wake huyo aliyemtambulisha kwa jina la Harry Peterson, raia wa Japan, walionekana kukolea kutokana na kuambatana kama kumbikumbi katika kila kona ya ufukwe huo. Baadaye walipigwa chabo wakipata kinywaji kwa staili ya ‘leta mbili za baridi, weka kwenye bili moja’ huku wakichombezana kwa vicheko na kila aina ya mahaba ili mradi tu penzi lao lilionekana bado changa. Richa alipotakiwa kufunua kinywa na kueleza ni nani huyo aliyekuwa naye, huku wakiweka picha kali za pozi, alitambaa na mistari bila simile: “Huyu ndiye usingizi wangu, tuna mpango wa kuoana hivi karibuni kwa sababu tuna baraka zote za wazazi, yeah tunapendana sana na kwa mara ya kwanza, namuanika mpenzi wangu yaani umekuwa mwandishi wa kwanza kumnasa, hongera.” Kwa upande wake Harry alikuwa na haya ya kusema: “Yah, Richa ni mpenzi wangu, tunapanga kuoana pindi tukikamilisha mipango yetu, ninampenda sana.

No comments: