FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Saturday, December 3, 2011

Aliyekuwa mwanamuziki, producer na mmiliki wa studio za Motika records za jijni Tanga, Abel Motika a.k.a Mr. Ebbo, amefariki dunia jana mida ya saa 3 usiku akiwa hospitali ambapo inaelezwa alikuwa akiumwa. Ebbo atakumbukwa enzi hizo alipotamba ile mbaya na wimbo wake 'Mi Mmsai' , uliotokea kupendwa na mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva ukanda huu afrika mashariki. Habari zinaeleza kwamba Mr. Ebbo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefarikii akiwa nyumbani kwake Mkoani Tanga. Mipango ya kuusafirishwa mwili wa Marehemu kuelekea Jijini Arusha kwa mazishi inafanyika kwani anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu nyumbani kwa baba yake Boma karibu na Masai Kempu. Hakika katangulia nasi twafwata nyuma , Bwana alitoa na Bwana ametwaa.

No comments: