FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Wednesday, December 14, 2011
DIMOND PLATINUM ANATISHA AKA SUKARI YA WAREMBO NI MWENDO WA MAMISI,WEMA CHALI,SASA NI JOKATE,TEEEEEEEEEEEEE
ENZI HIZO DIAMOND NA WEMA SEPETU
Kitaa kimenuka Wema Sepetu na Diamond ndani ya skendo nyingine. Safari hii Diamond anasemekana kuduu na mlimwende Jokate. Taarifa zilizozagaa kwasasa ni kwamba Diamond amekuwa akitoka kwa siri na Jokate kitu kilichopelekea Wema kuja juu. Wema alisikika akidai kwamba anashindwa kuelewa kilichomkuta mchumba wake huyo kiasi cha kujiachia na Jokate. Hata hivyo wadau wanadai upo uwezekano Diamond anavutiwa zaidi na walimbwende ndio sababu ya kuwa na Wema in the first place.
HAYA NAYO YA DUNIANIANI 2
DU MCHIZI NI NOMA HIZO CHABO NI ZA DUNIA
WE WEMA WE MAMBO GANI HAYO WENGINE TUNAMARADHI

No comments: