FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Sunday, January 8, 2012

BEYONCE AMZALIA JAZ MTOTOOOO

NEW YORK, Marekani
WANANDOA Beyonce Knowles na Shawn Carter ‘Jay Z’, 42, wamebahatika kupata mtoto wao wa kwanza, baada ya Beyonce (pichani) kulia akiwa na mumewe kuifungua mtoto wa kike aliyepewa jina la Ivy Blue Carter, juzi.
Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Beyonce, 30, kujifungua katika hospitali ya Lenox Hill, mwanamuziki Rihanna ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoa pongezi kupitia mtandao wa Twitter akifuatiwa na nguli wa muziki wa Hip Hop, Russell Simmons wrote.


Pia inaelezwa kuwa Jay Z alilipia ‘floo’ yote namba nne katika hospitali hiyo kwa dola 850,000 (Sh bilioni 1.3) ili mkewe aweze kupata huduma nzuri.

No comments: