FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Thursday, April 12, 2012LULU MAZITO TENA


Jeneza lenye mwili wa marehemu Steve Kanumba likiwa mbele ya wasanii wenzake.
Elizabeth Michael "Lulu".…

HIVI NDIVYO MASTAA KIBAO WALIVYOZIMIA

Posted by GLOBAL on April 12, 2012 at 1:30am 2 Comments


Irene Uwoya.

Wema Sepetu.…Irene Uwoya.

Wema Sepetu.

Recho.Irene Uwoya.

Wema Sepetu.

Recho.

Johari.
Na Waandishi Wetu
IDADI ya mastaa mbalimbali wa Bongo waliopoteza fahamu kufuatia kifo, maziko na mazishi ya aliyekuwa nyota wa sinema nchini, marehemu Steven Kanumba ni kubwa huku wengi wao wakichukua muda kuzinduka, Amani lina orodha mkononi.
Hali hiyo ilijitokeza kufuatia mastaa hao kushindwa kumudu kuukubali ukweli wa kifo cha msanii huyo.
Amani linachambua idadi yao kwa kuanzia siku ya kwanza kwa Kanumba kuaga dunia mpaka kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele.
Mastaa hao ni Irene Uwoya, Recho Haule, Wema Sepetu, Mayasa Mrisho, Rose Ndauka, Magret Sommy, Devotha Mbaga, Anita na Jacqueline Wolper.
Wolper; yeye baada ya kupata taarifa za kifo cha Kanumba, alipoteza fahamu kwa muda wa dakika 20 alfajiri ya Aprili 7, 2012 nyumbani kwa marehemu, Sinza.
Anita; msanii wa zamani wa Kaole, alipoteza fahamu kwa dakika 15, Aprili 8, 2012, nyumbani kwa marehemu baada ya kushindwa kuukubali ukweli wa kifo hicho.
Recho Haule; alipoteza fahamu kwa muda wa dakika 17, Aprili 10, 2012 siku ambayo marehemu Kanumba alikuwa anaagwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Uwoya; naye alipoteza fahamu kwa dakika 16, Aprili 10, 2012 wakati mwili wa marehemu ukiagwa.
Rose Ndauka; mbali na kuanza kwa kilio kikubwa, alipoteza fahamu kwa dakika 9 siku hiyo hiyo ya mazishi.
Wema Sepetu; yeye alipoteza fahamu kwa takribani dakika 45 hali iliyowapa wakati mgumu wahudumu wa Msalaba Mwekundu katika kumuweka sawa staa huyo.
Devotha na Magret Sommy walipoteza fahamu kwa dakika ambazo hazikujulikana mara moja, nao walishindwa kumudu kukubali ukweli kwamba siku hiyo, Kanumba analazwa kwenye nyumba ya milele.

WEMA AKIMBIZWA HOSPITALI
Kutokana na kuzimia huko, presha ya Wema ilishuka kiasi cha  kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar ambako alipata matibabu na kuruhusiwa.
“Jamani nimelia mpaka nikashindwa kujielewa nilipokuwa, sasa hivi ndiyo nimeshtuka najikuta hapa hospitali, yaani kifo cha Kanumba kimenishtua sana na siwezi kumsahau milele”, alisema Wema baada ya kupatiwa matibabu.
Karibu kila staa aliyezimia alianza kwa kuangua kilio kikubwa kwanza huku wakizungumzia kifo cha Kanumba.
Mbali na mastaa hao, inasadikiwa kuwa watu zaidi ya 250 walipoteza fahamu siku hiyo.
Kanumba alifariki dunia usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi ya Aprili 7, mwaka huu baada ya kudondoka chumbani kwake kwa kile kinachadaiwa ni ugomvi kati yake na mcheza sinema wa kike nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mpaka sasa, Lulu anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi.
Stori imendaliwa na Gladness Mallya, Imelda Mtema na Hamida Hassan.
Johari.
Na Waandishi Wetu
IDADI ya mastaa mbalimbali wa Bongo waliopoteza fahamu kufuatia kifo, maziko na mazishi ya aliyekuwa nyota wa sinema nchini, marehemu Steven Kanumba ni kubwa huku wengi wao wakichukua muda kuzinduka, Amani lina orodha mkononi. Hali hiyo ilijitokeza kufuatia mastaa hao kushindwa kumudu kuukubali ukweli wa kifo cha msanii huyo. Amani linachambua idadi yao kwa kuanzia siku ya kwanza kwa Kanumba kuaga dunia mpaka kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele. Mastaa hao ni Irene Uwoya, Recho Haule, Wema Sepetu, Mayasa Mrisho, Rose Ndauka, Magret Sommy, Devotha Mbaga, Anita na Jacqueline Wolper. Wolper; yeye baada ya kupata taarifa za kifo cha Kanumba, alipoteza fahamu kwa muda wa dakika 20 alfajiri ya Aprili 7, 2012 nyumbani kwa marehemu, Sinza. Anita; msanii wa zamani wa Kaole, alipoteza fahamu kwa dakika 15, Aprili 8, 2012, nyumbani kwa marehemu baada ya kushindwa kuukubali ukweli wa kifo hicho. Recho Haule; alipoteza fahamu kwa muda wa dakika 17, Aprili 10, 2012 siku ambayo marehemu Kanumba alikuwa anaagwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Uwoya; naye alipoteza fahamu kwa dakika 16, Aprili 10, 2012 wakati mwili wa marehemu ukiagwa. Rose Ndauka; mbali na kuanza kwa kilio kikubwa, alipoteza fahamu kwa dakika 9 siku hiyo hiyo ya mazishi. Wema Sepetu; yeye alipoteza fahamu kwa takribani dakika 45 hali iliyowapa wakati mgumu wahudumu wa Msalaba Mwekundu katika kumuweka sawa staa huyo. Devotha na Magret Sommy walipoteza fahamu kwa dakika ambazo hazikujulikana mara moja, nao walishindwa kumudu kukubali ukweli kwamba siku hiyo, Kanumba analazwa kwenye nyumba ya milele.
WEMA AKIMBIZWA HOSPITALI
Kutokana na kuzimia huko, presha ya Wema ilishuka kiasi cha  kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar ambako alipata matibabu na kuruhusiwa.
“Jamani nimelia mpaka nikashindwa kujielewa nilipokuwa, sasa hivi ndiyo nimeshtuka najikuta hapa hospitali, yaani kifo cha Kanumba kimenishtua sana na siwezi kumsahau milele”, alisema Wema baada ya kupatiwa matibabu.
Karibu kila staa aliyezimia alianza kwa kuangua kilio kikubwa kwanza huku wakizungumzia kifo cha Kanumba.
Mbali na mastaa hao, inasadikiwa kuwa watu zaidi ya 250 walipoteza fahamu siku hiyo.
Kanumba alifariki dunia usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi ya Aprili 7, mwaka huu baada ya kudondoka chumbani kwake kwa kile kinachadaiwa ni ugomvi kati yake na mcheza sinema wa kike nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mpaka sasa, Lulu anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi.
Stori imendaliwa na Gladness Mallya, Imelda Mtema na Hamida Hassan.

STEVEN CHARLES KANUMBA SAA 24 KABLA YA KIFO

Posted by GLOBAL on April 12, 2012 at 1:20am 6 Comments
NILIPATA kusikia mtu mmoja ambaye watu wengi walimkosoa kuwa anamkufuru Mungu. Alisema, “Si bora angekufa (akataja jina la staa mkubwa wa filamu) kuliko Kanumba jamani!” Binafsi nilipata taswira kwamba, wengi walimkubali marehemu Steven Charles Kanumba kutokana na mchango wake.

Kwa yule aliyesema maneno yale, inaonesha ni namna gani anaguswa na mafanikio, tusimlaumu sana alipelekwa na hisia zaidi. Alikuwa akitamani sana kuendelea kuneemeka na matunda ya mchango wa Kanumba. Alijaribu kupima katika macho ya kawaida na kugundua ni bora angekufa staa mwingine wa filamu na si Kanumba.

Kanumba alikuwa ni taa mbele ya giza totoro lililokuwepo miongoni mwa wasanii wengi. Mvuto wa ustaa wake aliutengeneza katika namna ya uadilifu na kumheshimu kila mtu. Baraka nazo zikamshukia, kila mtu akaguswa na kazi zake. Ndiyo…

No comments: