FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Wednesday, December 26, 2012


0

.

.

.

.

Picha zote kutoka kwa necole.
6

.

.

Barnaba.
Sumalee kwenye stage pia.Kassu Ent iliandaa tamasha maalum kutoka kwa 
wasanii wetu wa kizazi kipya iliowajumuisha Barbaba
 na Suma Lee.  Tamasha hili  lilikwenda sambamba kwa
 kusherekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika
 siku ya jumamosi tarehe 22.12.12 jijini London katika ukumbi 
wa Stratford.
Mgeni rasmi alikua naibu Balozi Chabaka Kilumanga alieambatana na
 mkewe Irene Kilumanga. Aidha Mh Balozi Kilumanga aliwapongeza
 watanzania walioweza kuja kujumuika na kusherekea pamoja
 katika siku hii  na kuwasihi kuendeleza mshikamano kwa kuishi 
pamoja kwa amani na upendo.
Kwa maelezo zaidi picha na tarehe za shoo zijazo tembelea
Taarifa imetumwa na Frank Eyembe wa Urban Pulse.

No comments: