FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Sunday, October 20, 2013

Baada ya Future kutoswa kwenye tour ya Drake, hiki ndicho alichokifanya Drake hivi sasa.

future-drakeFuture msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba ametoswa kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”. Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.
Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii watakaofanya tour hiyo. Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana kama angeikosa hii tour kwasababu ina show za kutosha ambazo zinamuigizia pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua mashataka ya kudai fidia ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba ametolewa kwenye tour

No comments: