FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Tuesday, October 8, 2013

Ikulu
Unaambiwa ofisi ya Rais Ikulu imeanza mawasiliano na viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ambavyo vina hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba uliopitishwa karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nia ya kuandaa mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama hivyo.
Mawasiliano hayo yameanza Jumatatu ya Oktoba 7 2013 kutokana maelekezo ya Rais Kikwete kwenda kwa Ofisi ya Katibu wa Rais.
Kutokana na matukio yaliyotokea bungeni wakati wa kujadiliwa na kupitishwa kwa Muswada huo mwezi uliopita na kauli mbalimbali ambazo zimetolewa na wabunge wa vyama vya upinzani kufuatia kupitishwa kwa muswada huo na Bunge.
President Kikwete kwenye hotuba yake kwa wananchi Oktoba 4 2013 alisema hoja na kauli za wanaopinga Muswada huo zinazungumzika kwa nia njema ya kutafuta mwafaka katika mchakato wa kutafuta Katiba Mpya.
Kupitia kibonde24.com kwenye sentensi nyingine kuhusu maandalizi ya Rais Kikwete kukutana na viongozi hao, Ofisi ya Rais, Ikulu inaangalia uwezekano wa kuitisha mkutano huo Jumapili ya Oktoba 13 au Jumanne ya Oktoba 15 2013.

No comments: