FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Friday, February 7, 2014

Ile kesi ya Lulu yaanzwa kusikilizwa Februari 17.

lulu3Elizabeth Michael’Lulu’ ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji bila kukusudia ya Steven Kanumba  anatarajia kuanza kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17 mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia iliyotolewa na Mahakama Kuu kwa kanda ya Dar es salaam,kesi ya hiyo ya Lulu itasikiliza mbele ya Jaji Rose ratiba hiyo inaonyesha kwamba mshtakiwa akisomewa mashtaka na kujibu,mahakama itapanga tarehe ya kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya kesi hiyo.
Lulu ambaye Januari 29 mwaka 2013 aliachiwa kwa dhamana baada ya kesi hiyo kubadilishwa hati ya mashitaka kutoka kwenye kesi ya mauaji kwenda mauaji ya bila kukusudia na Lulu kupata dhamana hiyo.
Baada ya Jaji Zainabu Mruke kutoa masharti ya dhamana kwa mshtakiwa huyo ambapo wakili wa utetezi Peter Kibatala baada ya kuwasilisha maombi ya dhamana kwa hati ya dharula chini ya kifungu cha 148 kidogo cha (1) na cha (2) cha Mwenendo wa Sheria ya Makosa ya Jinai (CPA).
Katika kesi ya msingi inadaiwa kuwa Lulu Aprili 7 mwaka 2012 katika eneo la Sinza Vatican jijini Dar es Salaam,Mshtkiwa alimuua Kanumba bila kukusudia.

No comments: