FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Monday, June 2, 2014

Uamuzi wa Mahakama kuhusu yule jamaa aliemshambulia Brad Pitt red carpet

Screen Shot 2014-06-02 at 9.16.26 AMMovie mpya ya Angelina Jolie ( Maleficent) ni movie ambayo siku inaonyeshwa kwa mara ya kwanza wiki iliyopita kulitokea ishu ya Brad Pitt ambae ni mume wa Angelina Jolie kuvamiwa na kupigwa usoni na mtu yuleyule ambae amekua akihusishwa kuvamia mastaa kwenye red carpet kama Will Smith.
Screen Shot 2014-06-02 at 9.09.35 AM
Angelina kwenye movie yake mpya ya Maleficent
Brad hakuumia na badala yake aliendelea kukutana na mashabiki mbalimbali waliojitokeza huku aliemvamia akikamatwa na kupelekwa polisi ambapo taarifa mpya kuhusu huyu jamaa aliemshambulia Brad, ni kwamba atakua chini ya uangalizi kwa miaka mitatu na pia ameonywa kuwa anatakiwa kukaa mbali na shughuli za mastaa kwa umbali wa mita 457.
Show ambazo hatakiwi kujisogeza ni pamoja na uonyeshwaji wa movie pamoja na utolewaji wa tuzo na pia katika uangalizi wa miaka mitatu, Sediuk anatakiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 20.
Screen Shot 2014-06-02 at 9.28.25 AMSediuk pia ameonywa kukaa mbali kabisa na Angelina Jolie pamoja na Brad, vilevile atatakiwa kwenda kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.

No comments: