Toka habari kusambaa kuwa Diamond na Wema Sepetu wamerudiana kumekuwa na misururu ya visanga, furaha, na matukio ya kushangaza kwa wapenzi hawa wawili.

Mafans wa mastaa hawa wawili wanawafuatilia kila siku wakitaka kujua mambo yepi yatajitokeza kwa wawili hawa.

Mwezi huu Diamond aliweza kuzungumzia kuhusu video yake na Wema ya 2014. Pia aliweza kuguzia mambo kadhaa kuhusu yeye na Wema.

Je kuna dalili zozote kuwa Wema na Diamond watatoa filamu ya ngono?

Dalili zipo nyingi kwani wawili hawa wanautamani umaarufu zaidi...nchini marekani, Kim Kardashian alifaulu kwa kutoa video ya ngono, sasa wawili hawa washatoa dalili kadhaa kuwa wanaweza kutoa filamu ya ngono.

Dalili ndizo zipi?!?

Siku kadhaa zilizopita Wema aliweza kumrekodi video Diamond akiwa kitandani na kuirusha kwa mtandao...na hivi tayari kuna picha iliyozagaa kwa mtandao ikiwaonyesha wawili hawa wakiwa kitandani. Hii ni dalili tosha kuwa wawili hawa wanawaandaa mafans wao kwa jambo kubwa ambalo linaanza kunukia.

Najua kuna mafans wanataka kuona zaidi!!!

Nchini Bongo si vigumu kwa staa kurusha video ya utupu kwa mtandao kwani hilo ni jambo la kila siku linalofanyika