FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Thursday, October 9, 2014


KENYATTA APOKELEWA KISHUJAA NCHINI KENYA

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kushoto) akilakiwa na Makamau wa Rais, William Ruto alipowasili JKIA leo alfajiri akitokea The Hague.
Rais Kenyatta akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea leo alfajiri.
RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, leo alfajiri amepokelewa kishujaa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi akitokea The Hague, Uholanzi.
Rais Kenyatta alienda katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), The Hague anapokabiliwa na mashtaka ya kupanga utekelezaji wa mauaji ya kikabila yaliyopelekea kuuawa kwa zaidi ya 1,200 baada ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2007.
Wakenya kutoka sehemu mbalimbali za taifa hilo wamekusanyika JKIA kuanzia majira ya saa 9 alfajiri kumsubiri Rais Kenyatta aliyekuwa ameambatana na mkewe Margaret Kenyatta.
Makamau wa Rais, William Ruto ndiye aliyeongoza viongozi wa serikali na kitaifa kumpokea mkuu huyo wa nchi.
Ndege iliyombeba Rais Kenyatta na viongozi alioambatana nao imetua JKIA saa 12:40 alfajiri na baadaye rais huyo alipokelewa kwa burudani za kitamaduni kutoka makundi mbalimbali ya sanaa.

No comments: