FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Wednesday, March 18, 2015

Diamond kufanyiwa upasuaji, afya ya mama yake na ujauzito wa Zari..

DaiZimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz akiwa Hospitali akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines zilizoandikwa kwamba alinusurika kukatwa mguu.
Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu, kwa sasa amepona.
Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.

No comments: