FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Tuesday, June 16, 2015

www.mudhihirimwinyi.blogspot.comMAKALA HAYA YAMEANDIKWA NA BWANA MUDHIHIRI MWINYI
 Ni bora ukubali kuhukumiwa  kuliko kushindwa kutoa maamuzi magumu kauli hii aliitoa mh.Edward ngoyai lowassa siku alipo tangaza nia ya kutaka kugombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi yaani CCm.
Kauli hiii inanikumbusha mambo mbalimbali ambayo yaliwahi kutokea katika nchi hii ambayo ni makubwa na mazito na yakutishia umoja wa taifa letu na tunu ya amani tuliyonayo  lakini viongozi wa ngazi za juu serikalini kushindwa kuyatolea maamuzi ,mfano hai ni pale pesa za EPA zilipochotwa na kuwaambia wezi warudishe pesa hizo wenyewe kwangu mimi tafsiri yake ni kushindwa kutoa maamuzi tena magumu,lakini kana kwamba hiyo haitoshi ni sawa kukwepa uwajibikaji na utii wa sheria kama katiba na sheria nyingine sinavoeelekeza,kana kwamba hiyo haitoshi nikitolea mfano mdogo wa EPA, Lakini bado ugonjwa wa kutoa maamuzi unaendelea kulitafuna taifa hili la wananchi wengi masikini katika Nchi yenye kila tija ya kuwa tajiri.
Ni nani asiyefahamu juu ya kukisiri kwa rushwa tena kwa takwimu na wala rushwa wanaojulikana,kila uchao mpaka uchao,ni nani asiyejua kuwa jeshi la polisi baadhi ya askari ni wala rushwa wakubwa mpaka mitaani wanawaita wazee wa mawe" eti kuingia bure kutoka na hela" lakini viongozi wenye zamana wanashindwa kuchukua hatua kama vile wamelala tena usingizi wa pono.
Nikiwa kama mzalendo mtanzania mpenda maendeleo mpenda nchii hii mwalimu nyeree aliyoiacha ikiwa tajiri  nawaambia wanachi wenzangu kuwa ipo haja ya kuwa na kiongozi,shupavu,kiongozi mwenye weledi,,kiongozi amaye atasimamia amani yetu,rasilimali zetu,umoja wetu, muungano wetu  na ambaye atakuwa na maamuzi magumu historia inatufunza kipindi kabla ya uhuru viongozi wenye maamuzi magumu na washupavu na wapambanaji hasaa ndio waliotusaidia kupata uhuru.
Ipo haya ya kuwa na kiongozi atakae ogopeka na kusimamia jinamizi la rushwa liliota mizizi katika taifa hili maamuzi ni ya kwako,itaaendelee
 MAKALA HAYA YAMEANDIKWA NA BWANA MUDHIHIRI MWINYI
 mwandishi wa makala haya anapatikana kwa namba 0757573039

No comments: