FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790

FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
FOR ADVERTISEMENT CALL +255714890790
GREEN WORLD HEALTH CENTER;WATAALAAMU SHIRIKA LA KIMAREKANI LA GREEN WORLD WANAFANYA UPIMAJI WA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SUGU KWA KUTUMIA VIPIMO VYA KISASA TUNAFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA MBALIMBALI MBALI NA TIBA ZAKE KAMA VILE VIDONDA VYA TUMBO KISUKARI MATATIZO YA INI MOYO NA FIGO FIBROIDS TB PUMU MAUMIVU YA VIUNGO NGUVU ZA KIUME KUWAHI KUFIKA KILELENI UZAZI SICKLECELL NA MAGONJWA MENGINE MENGI PIA TUNAPUNGUZA UNENE NA VITAMBI NA TUNAONDOA SUMU NA MAFUTA MABAYA MWILINI KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU TUPO POSTA MPYA JENGO LA AAR CITY HEALTH CENTER GOROFA YA PILI AU AU TABATA AU SIMU NO 0688704637

avdertse here call +255714489790

avdertse here call +255714489790

Thursday, November 17, 2016


Sababu za Naibu Waziri Kigwangalla kukipiga STOP kiwanda cha Viroba

November 16, 2016 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla, ameendelea na usimamizi wa Operesheni Maalum ya kufuatilia na kubaini viwanda vinavyozalisha bidhaa feki ikiwemo Pombe aina ya Viroba.
Leo mchana Naibu Waziri Kigwangala amelazimika kukifunga kiwanda cha Afro American kinachozalisha viroba aina ya Zed, Dollars na vinginevyo ambavyo vimekutwa havina vibali vya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na havina usajili wa Wakala wa Viwango Tanzania (TBS), havina Batch Number inayotambulisha uhalali wa uzalishaji wake, pamoja na tarehe ya kuzalishwa na ku-expire.
Kigwangalla amesema kutokana na kukosekana kwa taarifa hizo muhimu inakuwa ngumu kutambua ubora wake na idadi yake halisi kwa maksudi ya kulipa kodi ya serikali, pia imebainika wenye kiwanda hawatunzi rekodi za uzalishaji na wamekiri kuwa mitambo yao haina uwezo wa kuweka batch number.
Waziri Kigwangalla alianza kuendesha operesheni hii maalumu mnamo November 15, 2016 na kubaini uwepo wa bidhaa hizo sokoni ambapo aliagiza wataalamu wafuatilie kimya kimya kujua zinakotoka. na kufanikisha kugundua viwanda vinavyozalisha bidhaa zenye kiwango kisichoridhisha. whatsapp-image-2016-11-16-at-9-42-46-pm1whatsapp-image-2016-11-16-at-9-42-46-pm whatsapp-image-2016-11-16-at-9-42-48-pmwhatsapp-image-2016-11-16-at-9-42-49-pmwhatsapp-image-2016-11-16-at-9-42-50-pmwhatsapp-image-2016-11-16-at-9-57-19-pmwhatsapp-image-2016-11-16-at-9-57-52-pmwhatsapp-image-2016-11-16-at-10-04-59-pm
VIDEO: Naibu Waziri Hamis Kigwanga

No comments: